TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WAKALA WA MAENDELEO YA UONGOZI WA ELIMU (ADEM) 27-10-2023

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUHAMIA TRC 24-10-2023

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TANROADS NA TMA 24-10-2023

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI VETA 23-10-2023

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA UONGOZI 22-10-2023

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA 16-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs 24-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DIT 21-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UDSM & BASATA 21-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI ATC, CBE, ARIMO NA SHUWASA 20-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs & LGAs 20-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 19-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 16-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 13-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 10-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 05-10-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 26-09-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 26-09-2023

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 29-08-2023

Watumishi wapya wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa umma wakiwa katika picha ya pamoja na Wakufunzi kutoka chuo cha Utumishi wa Umma, baada ya mafunzo elekezi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi - Dodoma

Watumishi wapya wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakipatiwa mafunzo elekezi kwa kushirikisha wataalamu kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira na Chuo cha Utumishi wa Umma

Wadau wa Ajira wakiwa kwenye picha ya pamoja jijini Dodoma

Wadau wa Ajira wakiwa kwenye mkutano wa kukusanya maoni ya kuboresha sheria za uendeshaji wa mchakato wa Ajira jijini Dodoma

Wasailiwa wakisikiliza maelekezo ya jumla kutoka kwa Afisa wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kabla ya kuanza usaili wa kuandika jijini Dar es Salaam

Wasailiwa wakisikiliza maelekezo ya jumla kutoka kwa Afisa wa Sekretarieti ya Ajira kabla ya kuanza usaili wa mahojiano jijini Mwanza

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa tayari kutoa huduma kwa jamii

Baadhi ya Watumishi kutoka Taasisi mbalimbali za Umma wakifuatilia hotuba ya uzinduzi wa Mikataba ya Huduma kwa mteja iliyowasilishwa na Waziri wa Utumishi Mhe. George Simbachawene jijini Dodoma

Meimosi 2023 Kitaifa mkoani Morogoro

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei mosi 2023 mkoani Dodoma

Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wakiwa kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete akiwa pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Mkomi kwa pamoja wakipokelewa katika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Mkuu wa Kitengo cha Mipango na Tathmini Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Joachim Nyanda akiwasilisha Mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24 katika Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira jijini Dodoma.

Baadhi ya Wataalamu wanaosimamia Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Dodoma

Wasailiwa wakiwa kwenye Usaili wa Kuandika jijini Arusha.

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo Kada ya Uandishi wa Habari jijini Dodoma.

Wadau wakitoa maoni na mahitaji ya mfumo wa Kieletroniki wa kufanya Usaili wa kuandika (Online Aptitude Teste System) katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Dar es Salaam

Wadau wakitoa maoni na mahitaji ya mfumo wa Kieletroniki wa kufanya usaili wa kuandika (Online Aptitude Test System) katika kikao kilichofanyika Dodoma

Naibu Katibu Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye akitoa mafunzo ya Mradi wa TEHAMA kwa Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira Mkoani Morogoro

Wasailiwa wakiwa kwenye usaili Fundi Sanifu Umeme

Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo Fundi Sanifu Magari

Msailiwa akiwa katika usaili wa Vitendo Kada ya Fundi Sanifu Magari

Washiriki wa Mafunzo ya Usimamizi wa Viashiria vya hatari (Risk Champions) kutoka Sekretarieti ya Ajira wakifuatilia mafunzo hayo katika ukumbi wa Kumbukumbu na Nyaraka jijini Dodoma.

Wasailiwa wakiwa katika usaili wa Vitendo Kada ya Upishi katika Chuo cha Ufundi VETA- Dodoma.

Wakurugenzi wa Idara na Vitengo pamoja na Timu ya Wataalam kwenye picha ya pamoja katika hifadhi ya Manyara baada ya kuhitimisha kikao kazi Wilaya ya Karatu.

Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara na Vitengo pamoja na Wataalam wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea hifadhi ya Manyara iliyopo katika Wilaya ya Karatu baada ya kumaliza kikao kazi kilichoongozwa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Xavier Daudi wilayani hapo katika ukumbi wa Manyara Conference Centre.

Visitors

Useful Links

Contacts

Office Location

Loss Report Information

Loss Report Information

ADVERTISEMENTS ARCHIVE